Isaiah 1:19-20

19 aKama mkikubali na kutii,
mtakula mema ya nchi,
20 blakini kama mkikataa na kuasi,
mtaangamizwa kwa upanga.”
Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena.
Copyright information for SwhNEN